CATC is a professional aviation training institution in Tanzania providing specialized training for civil aviation personnel within Africa and beyond.
CATC ilianzishwa mwaka 1985 kwa lengo la kuimarisha uwezo wa rasilimali watu katika tasnia ya usafiri wa anga Tanzania na katika ukanda wa Afrika.
CATC ipo Dar es Salaam, Tanzania, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Terminal One tangu kuanzishwa kwake mwaka 1985.
CATC ipo chini ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA).
CATC imepata vyeti vya ubora, ithibati au uanachama wa taasisi mbalimbali, jambo linaloifanya kutambulika kitaifa na kimataifa katika utoaji wa mafunzo ya usafiri wa anga yenye viwango vya juu vya ubora. Imethibitishwa kwa Kiwango cha ISO 9001:2015. Mwanachama Kamili wa ICAO TRAINAIR PLUS, Montreal, Canada. Imesajiliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), Tanzania. Imeidhinishwa kama Shirika la Mafunzo na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA). Mwanachama wa Chama cha Mashirika ya Mafunzo ya Usafiri wa Anga Afrika (AATO). Mwanachama wa Taasisi ya Chartered Institute of Logistics and Transport (CILT), London. Chuo cha Mafunzo ya Usalama wa Anga cha ICAO (Aviation Security Training Centre - ASTC).
Ndiyo. Programu za mafunzo za CATC zimeandaliwa kwa kuzingatia Viwango na Mbinu Zinazopendekezwa za ICAO (SARPs).
Ndiyo. CATC hupokea washiriki wa mafunzo kutoka nchi mbalimbali duniani.
Kubuni, kuendesha na kusimamia mafunzo ya watumishi wa kiufundi na kiutendaji katika tasnia ya usafiri wa anga kwa kuzingatia viwango vya kimataifa na kwa gharama nafuu.
Kuwa Chuo kinachoongoza barani Afrika na duniani katika kutoa mafunzo ya usafiri wa anga, kinachomilikiwa na tasnia inayohusika na utoaji wa
Huduma za Uongozaji wa Ndege (Air Traffic Services), Huduma za Taarifa za Anga (Aeronautical Information Services), Mawasiliano, Uongozaji na Ufuatiliaji wa Ndege (CNS), Uendeshaji wa Safari za Ndege (Flight Operations), Uendeshaji wa Viwanja vya Ndege, mafunzo ya urubani wa droni, Usalama, Ubora na fani nyingine zinazohusiana.
Ndiyo. Mafunzo yanajumuisha ufundishaji darasani, matumizi ya mifumo ya uigaji (simulations) na mafunzo ya vitendo.
CATC ina ulinganifu mkubwa na matakwa ya udhibiti wa tasnia ya usafiri wa anga, imeidhinishwa kwa kiwango cha ISO 9001:2015, ni Chuo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Anga (ASTC), ina wakufunzi wenye uzoefu mkubwa na miundombinu maalumu ya mafunzo ya usafiri wa anga.
Ndiyo. Kozi zinaweza kubuniwa kulingana na mahitaji ya taasisi au mteja anayehusika.
Kupitia tovuti rasmi (www.catc.ac.tz), baruapepe (catc@tcaa.go.tz), au simu namba (+255 22 2844437/39 na +255 22 284443).
Saa za kawaida za kazi ni kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 9:30 alasiri siku za kazi. Hata hivyo, muda huo unaweza kuongezwa pale inapohitajika.
Huduma, Vyeti na Msaada kwa Wanafunzi
Ndiyo. Uamuzi hutolewa kupitia njia rasmi za mawasiliano.
Ndiyo, kwa kozi zinazohusika zinazohitaji matumizi ya vifaa hivyo.
Ndiyo.
Ndiyo.
Ndiyo.
Ndiyo. Nyenzo za mafunzo huandaliwa kwa kuzingatia viwango na miongozo ya Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO).
Ndiyo. Nyenzo za mafunzo huandaliwa kwa kuzingatia viwango na miongozo ya Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO).
Ndiyo. Taratibu za kiusalama katika chuo cha CATC zinapewa kipaumbele.
Ndiyo. Huduma ya intaneti ni inapatikana, ni muhimu kwa masuala yahusuyo usafiri wa anga.
Yanajumuishwa katika kozi inayohusika zinazohitaji mafunzo hayo.
Ndiyo.
Ndiyo.
Ndiyo.
Ndiyo.
Ndiyo. Baada ya kukamilisha kozi, CATC itatoa cheti cha kufaulu, cheti cha ushiriki au barua ya kuthibitisha ushiriki kulingana na mahitaji ya kozi inayohusika.
Ndiyo.
Fursa za kufanya tathmini au mtihani tena zinaweza kutolewa kulingana na mahitaji ya kozi inayohusika.
Hapana.
Inategemea matakwa ya mamlaka za udhibiti wa usafiri wa anga.
Ndiyo, kulingana na mahitaji ya kozi inayohusika.
Ndiyo, kupitia njia rasmi za taasisi.
Ndiyo, pale inapohusika.
Ndiyo, kwa kuzingatia makubaliano maalumu kati ya CATC na mteja husika.
Ndiyo.
Kupitia taratibu rasmi za kushughulikia malalamiko, ikiwamo kutumia anuani ya baruapepe: catc@tcaa.go.tz.
Ndiyo.
Ndiyo.
Mitihani hufanyika ili kutathmini kama washiriki wamefikia matokeo ya ujifunzaji na umahiri unaohitajika katika kozi inayohusika.
Hapana. Mahitaji ya kufanya mitihani hutegemea muundo wa kozi na malengo ya ujifunzaji yaliyowekwa.
Kwa kutembelea mara kwa mara tovuti ya CATC na kufuatilia njia rasmi za mawasiliano za chuo.
CATC inaweza kutumia mitihani ya maandishi, tathmini za vitendo, mitihani ya mazungumzo, kazi za mazoezi, miradi na tathmini endelevu.
Mahitaji ya mtihani huwasilishwa wakati wa usajili au kipindi cha utambulisho wa kozi.
Mitihani kwa kawaida hufanyika kulingana na ratiba ya kozi na mpango wa tathmini uliopangwa.
Tarehe za mitihani hutangazwa kupitia ratiba rasmi, matangazo au mifumo ya usimamizi wa ujifunzaji.
Ndiyo. CATC inaweza kurekebisha ratiba za mitihani inapohitajika na itawajulisha washiriki ipasavyo.
Unapaswa kuwa na kitambulisho chako pamoja na vifaa vya kuandikia vilivyoidhinishwa.
Ni vikokotoo vilivyoidhinishwa pekee vinavyoweza kutumika pale ambapo maelekezo ya mtihani yanaruhusu.
Kadi ya utambulisho ya CATC, kitambulisho cha taifa, pasipoti au hati nyingine ya utambulisho iliyoidhinishwa inaweza kuhitajika.
Watahiniwa wanashauriwa kufika angalau dakika 30 kabla ya muda uliopangwa wa kuanza mtihani.
Unaweza kuruhusiwa kuingia ndani ya muda maalumu baada ya mtihani kuanza kulingana na kanuni za mtihani.
Unapaswa kuitaarifu CATC mara moja na kuwasilisha nyaraka za kuthibitisha sababu hiyo pale inapohitajika.
Ndiyo. Kupangiwa mtihani mwingine kunaweza kuzingatiwa kwa sababu za msingi kama vile ugonjwa au dharura.
Ripoti za kitabibu, barua rasmi au ushahidi mwingine unaounga mkono sababu hiyo vinaweza kuhitajika.
Ndiyo. Watahiniwa hupatiwa maelekezo ya mtihani kabla ya tathmini kufanyika.
Kwa ujumla, mitihani hufanyika kwa lugha ya Kiingereza isipokuwa kama itaelekezwa vinginevyo.
Muda wa mtihani hutegemea mahitaji ya kozi na aina ya tathmini inayotumika.
Unaweza kuomba ufafanuzi kuhusu maelekezo ya mtihani lakini si kuhusu maudhui ya maswali ya mtihani.
Simu za mkononi, maandishi yasiyoruhusiwa, vifaa vya TEHAMA na vifaa vingine vilivyopigwa marufuku haviruhusiwi.
Simu za mkononi, maandishi yasiyoruhusiwa, vifaa vya TEHAMA na vifaa vingine vilivyopigwa marufuku haviruhusiwi.
Simu za mkononi lazima zizimwe na kuhifadhiwa kulingana na maelekezo ya wasimamizi wa mtihani.
Huruhusiwa tu iwapo imeelezwa wazi katika maelekezo ya mtihani unaohusika
Marejeo yaliyoruhusiwa rasmi tu ndiyo yanayoweza kutumika
Tukio hilo linaweza kuchukuliwa kuwa ni utovu wa nidhamu wa mtihani.
Ndiyo, lakini kwa ruhusa ya msimamizi wa mtihani.
Ndiyo, kwa kuzingatia kanuni za mtihani na muda wa chini unaotakiwa kukaa kwenye mtihani.
Hapana. Mawasiliano kati ya watahiniwa wakati wa mtihani hayaruhusiwi.
Mtaarifu msimamizi wa mtihani mara moja.
Ndiyo. Uhakiki wa mitihani unaweza kufanyika ili kuhakikisha usawa, haki na uthabiti katika tathmini.
Kiwango cha ufaulu hutegemea mahitaji ya kozi inayohusika na sera ya tathmini ya CATC.
Mitihani ya vitendo hutathminiwa kwa kutumia vigezo vinavyozingatia umahiri na orodha za uchunguzi wa utendaji.
Hili hutegemea muundo wa tathmini wa kozi inayohusika.
Ndiyo, pale ambapo tathmini endelevu ni sehemu ya mahitaji ya kozi.
Alama za mwisho za kozi hukokotolewa kwa kuzingatia mgawanyo wa uzito wa tathmini ulioidhinishwa.
Taratibu za mapitio hutegemea sera za mitihani za CATC.
Ndiyo. Matokeo ya mitihani huhifadhiwa kama kumbukumbu za siri.
Matokeo hutolewa baada ya kukamilika kwa usahihishaji, uhakiki na taratibu za uidhinishaji.
Matokeo yanaweza kutolewa kwa njia ya uso kwa uso au njia nyingine zilizoidhinishwa na CATC
Ingawa baadhi ya kozi zinaweza kuruhusu mtihani wa nyongeza au tathmini ya kurudia, kozi nyingine hazitoi fursa hiyo.
Mtihani wa nyongeza ni fursa inayotolewa ili kumwezesha mtahiniwa kuboresha matokeo ya mtihani alioufeli.
Ndiyo, kwa kuzingatia sera na masharti yanayohusika.
Hudhuria vipindi vya masomo mara kwa mara, shiriki kikamilifu katika shughuli za ujifunzaji na jiandae vizuri kwa kutumia nyenzo za kozi.
Utovu wa nidhamu katika mitihani unahusisha udanganyifu, wizi wa kitaaluma, kujifanya mtu mwingine na ukiukwaji mwingine wa kanuni za mitihani.
Kutumia vifaa visivyoruhusiwa, kupokea msaada kutoka kwa wengine au kunakili kazi ya mtahiniwa mwingine.
Ni kuwasilisha kazi au mawazo ya mtu mwingine kana kwamba ni yako bila kutoa utambuzi unaostahili.
Ni kumruhusu mtu mwingine kufanya mtihani kwa niaba yako au kufanya mtihani kwa niaba ya mtu mwingine.
Adhabu zinaweza kujumuisha kufeli, kusimamishwa masomo au hatua nyingine za kinidhamu.
Ndiyo. Rufaa zinaweza kuwasilishwa kwa kufuata taratibu zilizowekwa.
Fuata kanuni za mitihani na zingatia uadilifu wa kitaaluma.
Ndiyo. Kanuni za mitihani huwasilishwa kabla ya mtihani kufanyika.
Ndiyo. Utovu mkubwa wa nidhamu unaweza kuathiri sifa za kustahili kutunukiwa cheti.
Mjulishe msimamizi wa mtihani mara moja na tafuta huduma za matibabu inapohitajika.
Itaarifu CATC haraka iwezekanavyo na uwasilishe nyaraka za kitabibu zinazothibitisha taarifa hiyo.
Ndiyo. Marekebisho yanayofaa yanaweza kutolewa kwa ombi la mhusika.
Wasilisha ombi rasmi likiambatana na nyaraka zinazothibitisha kabla ya tarehe ya mtihani.
Muda wa ziada unaweza kutolewa pale ambapo sababu zinazohusika zimeidhinishwa.
Watahiniwa wanapaswa kufuata maelekezo ya wasimamizi wa mtihani na wafanyakazi wa CATC.
Ndiyo. CATC inaweza kuahirisha mitihani inapobidi.
Ndiyo. Watahiniwa wanaweza kukata rufaa kupitia utaratibu rasmi uliowekwa.
Wasilisha rufaa kwa maandishi ndani ya siku saba (7) na mrejesho utatolewa ndani ya siku 14 baada ya kupokea barua ya rufaa.
Ada ya rufaa inaweza kutozwa kulingana na sera za CATC. Kwa maelezo zaidi wasiliana na ofisi ya Uhasimu CATC.
Vyeti hutolewa baada ya uthibitishaji na uidhinishaji wa matokeo kukamilika.
Unaweza kuomba cheti mbadala kwa kufuata taratibu za CATC ikiwa ni pamoja na kuandika barua ikiambatana na tangazo la kupotelewa cheti na hati ya polisi ya kupotelewa cheti pamoja na malipo
Ndiyo. Kumbukumbu za mitihani huhifadhiwa kwa mujibu wa sera za uhifadhi wa kumbukumbu.
Matumizi ya kimiminika cha kufutia maandishi yanaweza kuzuiwa kwa mujibu wa kanuni za mitihani.
Kozi zinazotolewa
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
CATC hutoa kozi za muda mrefu na muda mfupi za kitaaluma katika tasnia ya usafiri wa anga. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
]Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Hapana kwa sasa. Hata hivyo, CATC inaendelea na mchakato wa kidijiti wa huduma zake, ambao unajumuisha pia maendeleo ya kozi za mtandaoni na za mseto.
Ratiba za kozi hutegemea mahitaji yaliyopo na mpango wa mafunzo wa mwaka. Kwa maelezo zaidi tembelea www.catc.ac.tz.
Ndiyo. CATC ina kitengo cha ubunifu na uandaaji wa kozi, hivyo ina uwezo wa kubuni na kuendeleza kozi kulingana na mahitaji ya taasisi husika.
Muda wa kozi hutofautiana kuanzia mwaka mmoja hadi miaka mitatu.
Kozi za muda mfupi hutofautiana kuanzia siku moja hadi wiki 16.
Ndiyo. Mafunzo yanafuata kanuni za mafunzo yanazingatia umahiri.
Hapana. Mbinu ya tathmini huamuliwa kwa kuzingatia matokeo tarajiwa ya ujifunzaji wa kozi husika, matakwa ya kikanuni na kiwango cha umahiri kinachotathminiwa. Kozi zinazohitaji uthibitisho rasmi wa maarifa au umahiri zinaweza kujumuisha mitihani ya maandishi na/au ya vitendo.
Kozi zinazolenga uhamasishaji, utambulisho wa awali (familiarization), ushiriki au maendeleo ya kitaaluma yasiyohitaji utoaji wa cheti cha umahiri zinaweza kutumia mbinu mbadala za tathmini kama vile maonesho ya vitendo, mazoezi, uchunguzi, mahudhurio au shughuli za ukamilishaji wa kozi.
Taarifa za jumla kuhusu kozi zinapatikana mtandaoni; maudhui ya kina ya kozi hutolewa baada ya mwanafunzi kupokewa rasmi.
Ndiyo. Ratiba zinaweza kubadilika kutokana na mahitaji ya kiutendaji na mahitaji ya wateja
Udahili na Maombi ya Kozi
Maombi ya kujiunga na kozi yanaweza kuwasilishwa mtandaoni kupitia tovuti ya CATC: www.catc.ac.tz au kupitia njia rasmi za mawasiliano kama baruapepe (catc@tcaa.go.tz) na namba za simu (+255 22 2844437/39 au +255 22 284443).
Ndiyo. Maombi yanaweza kutumwa kupitia tovuti rasmi ya CATC: www.catc.ac.tz.
Vigezo vya kujiunga hutofautiana kulingana na kozi inayohusika, kama vinavyooneshwa katika tovuti ya www.catc.ac.tz.
Ndiyo, baadhi ya kozi za usafiri wa anga zinahitaji cheti cha uthibitisho wa afya na utimamu wa mwili.
Isipokuwa kama imeelekezwa tofauti kwa kozi maalumu, kinachohitajika ni uwezo wa kuwasiliana kwa ufanisi kwa lugha ya Kiingereza katika kusoma, kuandika, kusikiliza na kuzungumza kwa kiwango kinachofaa kulingana na mazingira ya mafunzo.
Ndiyo. CATC inapokea maombi kutoka kwa waombaji wa kimataifa kupitia tovuti rasmi ya www.catc.ac.tz.
Vyeti vya taaluma na kitaalamu, nyaraka za utambulisho pamoja na vibali vinavyohitajika kulingana na mahitaji ya kozi.
Kwa kozi zilizotangazwa, maombi yanapaswa kuwasilishwa angalau wiki moja kabla ya tarehe ya kuanza kwa mafunzo. Kwa maombi maalumu yaliyo nje ya ratiba iliyotangazwa, maandalizi ya angalau wiki tatu yanahitajika ili kuruhusu upangaji na maandalizi stahiki.
Waombaji waliofanikiwa wataarifiwa rasmi kupitia njia za mawasiliano walizobainisha wakati wa kutuma maombi.
Ndiyo, lakini uteuzi utategemea kukidhi vigezo vya kujiunga na kozi inayohusika.
Siyo kozi zote zina masharti sawa ya umri. Baadhi ya kozi zinaweza kuhitaji umri maalumu kulingana na programu na viwango vya udhibiti. Kwa kozi nyingi, umri wa chini ni miaka 18. Hata hivyo, kozi za leseni za
Kozi za:
Uongozaji Ndege
Maofisa Uendeshaji wa Ndege (Flight Operations Officers); na
Mifumo ya Ndege Isiyo na Rubani (RPAS).
Ndiyo. Baadhi ya kozi zinaweza kuhitaji usaili au tathmini, hususani zile zinazohusisha ajira ya moja kwa moja ndani ya TCAA, kama vile Uongozaji ndege na Maafisa wa Taarifa za Anga.
CATC haitoi udhamini wa masomo moja kwa moja. Hata hivyo, waajiri wengi katika sekta ya usafiri wa anga huwafadhili wafanyakazi wao kuhudhuria mafunzo; hivyo waombaji wanashauriwa kuchunguza uwezekano huo kupitia waajiri wao wa sasa au watarajiwa.
Ndiyo, mradi watimize vigezo vya udahili na wawasilishe nyaraka zinazohitajika za udhamini.
Ndiyo. Taasisi zinaweza kuwasilisha majina ya washiriki rasmi kwa ajili ya mafunzo, mradi washiriki hao watimize masharti ya udahili.
Waombaji watajulishwa rasmi na maandalizi mbadala yatafanyika pale inapobidi.
Ndiyo. Ombi la kuahirisha udahili linaweza kuzingatiwa baada ya kuwasilishwa rasmi.
Ndiyo. Waombaji wanaruhusiwa kuomba tena.
Ndiyo. Uteuzi hufanyika kwa kuzingatia sifa za mwombaji na nafasi zilizopo.
Ada na Malipo
Ada hutofautiana kulingana na kozi inayohusika kama zilivyoainishwa katika tovuti ya www.catc.ac.tz.
Ndiyo.
Ada inajumuisha nyenzo za mafunzo, mitihani pamoja na vipindi vya mafunzo ya vitendo.
Kwa ujumla, gharama za malazi hazijumuishwi.
Kwa kawaida, chakula hakijumuishwi isipokuwa pale itakapoelekezwa vinginevyo.
Baadhi ya kozi zinaweza kuwa na ada maalumu ya maombi. Taarifa hizi hutolewa katika maelezo ya kozi inayohusika yanayopatikana katika www.catc.ac.tz.
Hapana. CATC hujitahidi kuwafahamisha waombaji gharama zote zinazotumika kabla ya usajili.
Hapana. CATC itatoa namba ya malipo (Control Number) ili kuwezesha malipo kupitia:
Uhamisho wa fedha kwenda kwenye akaunti za TCAA; au
Huduma za fedha kwa njia ya simu.
CATC itatoa namba ya malipo (Control Number) na malipo yanaweza kufanywa kupitia:
Uhamisho wa fedha kwenda kwenye akaunti za TCAA; au
Huduma za fedha kwa njia ya simu.
Mara tu baada ya kukamilisha malipo, utapokea ujumbe mfupi wa uthibitisho wa kupokea malipo. Hata hiyo, endapo hili halitatokea unashauriwa kuwasiliana na ofisi ya fedha chuoni.
Ndiyo. Malipo kutoka kwa mtu wa tatu yanakubaliwa, mradi taarifa sahihi za mwanafunzi ziwasilishwe.
Ndiyo. Malipo ya kimataifa yanaweza kufanyika kupitia njia za benki zilizoidhinishwa.
Kwa kawaida, ada zote zinapaswa kulipwa kikamilifu kabla ya kuanza kwa kozi isipokuwa pale ambapo ombi la kulipa kwa awamu limeidhinishwa. CATC imeruhusu malipo ya hatua kwa hatua au taasisi, shirika au mtu binafsi amepewa utaratibu maalumu wa mkopo.
Ndiyo. Kwa kawaida, malipo kamili yanahitajika kabla ya kuanza kwa mafunzo.
Usajili wako unaweza kuchelewa au ofa yako ya udahili inaweza kuathirika.
Kwa ujumla, wanafunzi wanatakiwa kukamilisha wajibu wao wa kifedha kabla ya kuhudhuria masomo.
Ndiyo. Ombi la maandishi linaweza kuzingatiwa baada ya kupata idhini.
Hapana. Taratibu na sera za CATC lazima zifuatwe.
Ankara hutolewa moja kwa moja kwa taasisi zinazodhamini baada ya kupokea ombi rasmi.
Ndiyo, kwa kuwasilisha nyaraka mpya za udhamini.
Hapana. Hata hivyo, unaweza kuomba idhini ya kutumia ada hiyo kuhudhuria kozi nyingine yenye kiwango sawa cha ada ndani ya muda utakaoainishwa.
Hapana. CATC ina sera ya kutorejesha ada zilizolipwa ili kuimarisha uthabiti wa kifedha na uendelevu wa huduma zake. Hata hivyo, washiriki wanaweza kupewa fursa mbadala ya kutumia ada iliyolipwa kwa huduma au mafunzo mengine ndani ya muda maalumu kwa kuzingatia masharti yaliyowekwa.
Ndiyo. Adhabu ya asilimia tano (5%) ya kiasi kinachodaiwa itatozwa endapo malipo hayatafanyika ndani ya muda uliowekwa.
Ndiyo. Ada zinaweza kufanyiwa mapitio mara kwa mara.
Ndiyo. Inategemea na kozi inayohusika.
Ndiyo. Uthibitisho wa malipo unapaswa kuwasilishwa kabla ya kuanza kwa kozi.
Ndiyo. Inategemea njia inayotumika kufanyia muamala pamoja na sera za taasisi ya fedha inayohusika.
Sera za CATC kuhusu kutohudhuria mafunzo zitatumika. Kwa taarifa zaidi, tafadhali wasiliana na ofisi ya utawala.
Wasilisha maombi ya maandishi kuhusu kuahirisha kozi kabla ya tarehe ya kuanza kwa mafunzo kupitia kwa Mkuu wa Chuo.
Muda wa uhalali wa uhamishaji wa ada umeainishwa katika sera za CATC kuhusu kuahirisha mafunzo.
Ndiyo. Ankara za awali zinaweza kutolewa kwa ombi rasmi.
Wasilisha maombi Ofisi ya Fedha ya CATC.
Ndiyo. Wanafunzi wanaweza kuomba taarifa za akaunti zao za malipo.
Ndiyo. Stakabadhi za kielektroni zinaweza kutolewa pale inapohusika.
Wasiliana na Ofisi ya Fedha ya CATC.
Wasilisha uthibitisho wa malipo kwa ajili ya uchunguzi na uhakiki.
Ndiyo. Barua za uthibitisho zinaweza kutolewa kwa maombi rasmi.
Punguzo linaweza kuzingatiwa kwa taasisi au mashirika yanayokidhi vigezo vilivyowekwa.
Nyaraka za kitabibu zinazounga mkono hali hiyo zinaweza kuwezesha kuahirishwa kwa mafunzo au kupewa utaratibu maalumu wa kuzingatiwa.
Manufaa ya watumishi husimamiwa kwa mujibu wa sera za rasilimali watu za CATC/TCAA.
Ndiyo. Stakabadhi rasmi hutolewa kwa malipo yote yaliyopokewa.
Maswali kuhusu wakufunzi
Maombi yanaweza kuwasilishwa CATC kwa kufuata utaratibu uliowekwa, ikiwamo kuwasilisha vyeti na nyaraka nyingine zinazohitajika.
Wataalamu wenye sifa stahiki, umahiri wa kiufundi na uzoefu wa vitendo katika tasnia ya usafiri wa anga au taaluma zinazohusiana wanaweza kuomba kuwa wakufunzi wa CATC.
Ndiyo. Uzoefu unaohusika katika tasnia hiyo unahitajika sana na unaweza kuwa wa lazima kwa masomo maalumu ya usafiri wa anga.
Ndiyo. Wataalamu waliostaafu wenye utaalamu na uzoefu mkubwa wanahimizwa kuwasilisha maombi.
Mbinu zinaweza kujumuisha mihadhara darasani, mazoezi ya vitendo, uigaji wa mazingira halisi, warsha pamoja na uchambuzi wa visa.
Programu nyingi za mafunzo ya usafiri wa anga hutolewa kwa lugha ya Kiingereza kwa sababu ndio lugha ya kazi.
Utendaji na umahiri wa wakufunzi unaweza kutathminiwa mara kwa mara.
Majukumu hayo yanajumuisha:
• Kufundisha na kutoa mafunzo;
• Kutathmini wanafunzi;
• Kuhifadhi na kusimamia kumbukumbu;
• Kuandaa nyenzo za mafunzo; na
• Kusaidia maboresho endelevu ya ubora wa mafunzo.
Toa taarifa mapema kwa Meneja wa Mafunzo au msimamizi aliyekabidhiwa jukumu hilo. Hakikisha unawasilisha taarifa kwa wakati ili kuruhusu mipango mbadala na kupunguza usumbufu kwa washiriki wa mafunzo
Maswali ya Jumla
Tumia Njia ya Mawasiliano
CATC is a professional aviation training institution in Tanzania providing specialized training for civil aviation personnel within Africa and beyond.
CATC was established in 1985 to support capacity building in the aviation sector in Tanzania and the region.